Tununue Pamoja logo Tununue Pamoja

Tununue Pamoja

by BeroGenge

🗂️ Business

🆓 free

4.9/5 ( 645+ reviews)
Android application Tununue Pamoja screenshort

Features Tununue Pamoja

TununuePamoja ni nini?@berogengeTununuePamoja ni moja kati ya huduma zetu, na kupitia mfumo huu tunakuwezesha kuagiza bidhaa kutoka China kwa kushirikiana na wengine ili kuweza kufikia kiwango cha Chini (MOQ) kinachopangwa na viwanda au wachuuzi wakubwa na kujipatia bidhaa kwa bei nafuu.Huduma huu tunaitoa kupitia magroup yetu ya whatsapp na pia kwa mtandao wetu ambao unakua kwa kasi sana nchini Tanzania www.tununuepamoja.com pamoja na application hii ya simu.Tunafanya nini hasa?TununuePamoja kwa umakini na umahiri tunahakikisha upatikanaji wa bidhaa zilizo bora kutoka China, tunapokea oda zako, tunakusafirishia mzigo hadi kwenye stoo zetu na pia tunahakikisha kila mmoja anapata mzigo wake kulingana na idadi aliyoagiza.
Mfumo huu ni rahisi kutumia na ni rafiki kwa mtumiaji.Tunapatikana wapi?Stoo zetu zipo Dar es Salaam karibu stendi ya zamani ya Bamaga barabara ya sinza tunatazamana na chuo cha utumishi.Tunasafirishaje mizigo?Kwa kawaida mizigo tunasafirisha kwa njia ya ndege na meli na tunajitahidi katika kuchagua kampuni ambazo zinasafirisha mizigo kwa uharaka na uhakika.Mizigo inachukua siku ngapi kufika stoo yetu?Inachukua siku 7 hadi 12 kwa usafiri wa ndege.Inachukua siku 35 hadi 60 kwa usafiri wa maji.
Vipi kuhusu watu wa mikoani?Tayari BeroGenge tumeanza kujitanua kuwafikia watu wa mikoa mingine, na baadhi ya mikoa tayari tuna mawakala na tunaendelea kutafuta mawakala zaidi kufikia mikoa yote ya Tanzania.
Utaratibu wa sasa, baada ya mizigo kufika stoo yetu utatumiwa kama upo mkoa mwingine.Jinsi ya kuweka OdaKuweka oda ni rahisi na salama, download application hii maelekezo ni rahisi au wasiliana nasi.Agiza bidhaa kutoka China kwa kutumia mtandao wako wa kijanja kwa bidhaa zenye ubora na uhakika.

Secure & Private

Your data is protected with industry-leading security protocols.

24/7 Support

Our dedicated support team is always ready to help you.

Personalization

Customize the app to match your preferences and workflow.

Screenshots

See the Tununue Pamoja in Action

Tununue Pamoja Screen 1
Tununue Pamoja Screen 2
Tununue Pamoja Screen 3
Tununue Pamoja Screen 4

Get the App Today

Download on Google Play

Available for Android 8.0 and above